TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Walter Rodney

The Typologically Different Question Answering Dataset

Rodney aliishi na mke wake, Pat, na watoto wake watatu. Ndugu yake, Donald, ambaye alijeruhiwa katika mlipuko, alisema kuwa afisa wa Jeshi la Guyana aitwaye Gregory Smith ndiye alimpa Rodney bomu iliyomuua. Baada ya mauaji, Smith alikimbilia Guiana ya Kifaransa ambako alikufa mwaka wa 2002. [2]

Je,mke wa Walter Rodney alikuwa anaitwa nani?

  • Ground Truth Answers: PatPat

  • Prediction:

Mwaka wa 2004, mjane wake, Patricia, na watoto wake walichangia majarida kwa Robert L Woodruff Maktaba ya Chuo Kikuu cha Atlanta. Tangu mwaka wa 2004, kuna Kongamano la Walter Rodney linalofanyika kila mwaka tarehe 23 Machi (Siku ya kuzaliwa ya Rodney) katika Kituo chini ya udhamini wa Maktaba na Idara ya Sayansi ya Siasa chuo kikuu cha Atlanta na chini ya familia ya Rodney.

Je,mke wa Walter Rodney alikuwa anaitwa nani?

  • Ground Truth Answers: Patricia

  • Prediction: